KUSINI NEWS
KUSINI NEWS
  • Видео 3 190
  • Просмотров 2 702 372
RAS RUVUMA AKUTANA NA WATUMISHI WA HOMSO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ameitembelea na kuikagua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Songea (HOMSO) ambapo amewapongeza watumishi kwa huduma bora wanazozitoa kwa wananchi.
Amewataka watumishi wa afya kuhakikisha wanatoa huduma bora, kudumisha nidhamu kazini, kuwajibika na kuzingatia uadilifu kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania.
Просмотров: 55

Видео

WAFANYABIASHARA MBAMBABAY WAOMBA MELI YA MIZIGO
Просмотров 21421 час назад
Wafanyabiashara wa mahindi mjini Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wameomba kuanzishwa kwa Safari za meli za mizigo kutokea bandari ya Mbambabay hadi nchi jirani ya Malawi ili waweze kusafirisha mahindi ambayo yamerundikana katika bandari ya Mbambabsy kutokana na boti zinazotumika kuzidiwa na mzigo
RUSHWA INAUMIZA WANANCHI NA SERIKALI -ASKOFU MKUU
Просмотров 97День назад
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea Mhashamu Damian Dallu amekemea vitendo vya rushwa hasa vinavyofanyika kwenye uchaguzi ambapo amesema vitendo hivyo vinaumiza wananchi na serikali. Alikuwa anahubiri katika adhimisho la misa takatifu ya kumsimika na kumbariki Abate mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB katika kanisa la Abasia ya Peramiho.
SIJAWAHI KUINGIA KATIKA KANISA KAMA HILI
Просмотров 280День назад
Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel amezungumzia uzuri wa kanisa la Abasia ya Peramiho Jimbo Kuu la Songea na kwamba anatamani ramani ya kanisa hilo kuipeleka kwenye Jimbo lake la Siha kaskazini mwa Tanzania
SHEREHE ZA KUSIMIKWA ABATE MPYA PERAMIHO
Просмотров 176День назад
SHEREHE ZA KUSIMIKWA ABATE MPYA PERAMIHO
RAIS SAMIA KUWASILI RUVUMA SEPTEMBA
Просмотров 88День назад
RAIS SAMIA KUWASILI RUVUMA SEPTEMBA
NAIBU WAZIRI WA AFYA AELEZA MAZITO PERAMIHO
Просмотров 207День назад
Naibu Waziri wa Afya Mheshimiwa Dr.Godwin Mollel amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97 imewezesha huduma za kiteknolojia za afya zinazotolewa Ulaya na India kutolewa katika hospitali zilizopo nchini Dr. Mollel alikuwa anazungumza kwenye sherehe za kusimikwa na kumbariki Abate Mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB kwenye k...
HOSPITALI YA PERAMIHO INAONGOZA KUSINI
Просмотров 275День назад
Hospitali ya Misheni ya Rufaa ya Mtakatifu Joseph ya Peramiho Jimbo Kuu la Songea inaongoza kwa kuhudumia wagonjwa wengi wa figo kwa wakati mmoja katika Kanda ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini. Hayo yamesemwa na Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile wakati anatoa salamu za Mkoa kwenye sherehe za kumsimika Abate Mpya wa Abasia ya Peramiho Mhashamu Emanuel Mlwilo OSB. Mg...
RUSHWA NI DHAMBI
Просмотров 4514 дней назад
Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Janeth Haule ameutaja wajibu wa vyombo vya Habari hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni kubadili fikra za wananchi kulingana na misingi ya maadili,uadilifu,utawala bora,haki za binadamu,uzalendo na upendo. Amesema rushwa inakatazwa kila mahali ambapo kisheria rushwa ni kosa la jinai,rushwa pia ni utovu wa maadili kwa jamii n...
RC RUVUMA ALIVYOTATUA KERO ZA TUNDURU
Просмотров 5014 дней назад
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Tunduru ambapo amefanya mkutano wa ndani na wa hadhara na wananchi katika uwanja wa Baraza la Eid na kusikiliza kero 28 za wananchi kisha kuzitafutia ufumbuzi
RUVUMA MWENYEJI TAMASHA LA UTAMADUNI
Просмотров 4914 дней назад
RUVUMA MWENYEJI TAMASHA LA UTAMADUNI
RC RUVUMA ASIKILIZA KERO ZA TUNDURU
Просмотров 9914 дней назад
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Tunduru ambapo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi katika uwanja wa Baraza la Eid mjini Tunduru na kusikiliza kero 28 za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
SERIKALI YACHUKUA HATUA KUZUIA MPOX KUINGIA NCHINI
Просмотров 5614 дней назад
Waziri Wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewatoa hofu wananchi na wataalamu wa afya kuwa bado Tanzania iko salama juu ya ugonjwa wa Mpox hivyo kuendelea kushirikiana kuhakikisha nchi inabaki salama, Mhe. Mhagama amesema hayo Jijini Dodoma akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa Ugonjwa huo ambao umetangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa ni tahadhari ya Afya Duniani.
HATUA ZA TAHADHARI ZA KUJIKINGA NA UGONJWA WA MPOX
Просмотров 9814 дней назад
Waziri Wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewatoa hofu wananchi na wataalamu wa afya kuwa bado Tanzania iko salama juu ya ugonjwa wa Mpox hivyo kuendelea kushirikiana kuhakikisha nchi inabaki salama, Mhe. Mhagama amesema hayo leo Jijini Dodoma akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa Ugonjwa huo ambao umetangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa ni tahadhari ya Afya Duniani.
TANZANIA NI SALAMA HAKUNA MGONJWA WA MPOX
Просмотров 2414 дней назад
Waziri Wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewatoa hofu wananchi na wataalamu wa afya kuwa bado Tanzania iko salama juu ya ugonjwa wa Mpox hivyo kuendelea kushirikiana kuhakikisha nchi inabaki salama, Mhe. Mhagama amesema hayo leo Jijini Dodoma akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa Ugonjwa huo ambao umetangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa ni tahadhari ya Afya Duniani.
WANANCHI MADABA WATAHADHARISHWA
Просмотров 7914 дней назад
WANANCHI MADABA WATAHADHARISHWA
MADABA YAPATA MAKAMU MWENYEKITI MPYA
Просмотров 2914 дней назад
MADABA YAPATA MAKAMU MWENYEKITI MPYA
CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO MADABA KUMALIZWA
Просмотров 4714 дней назад
CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO MADABA KUMALIZWA
MADABA KUFUNGIWA REDIO
Просмотров 9014 дней назад
MADABA KUFUNGIWA REDIO
WANAWAKE WA RUVUMA WAPO VIZURI KIUCHUMI
Просмотров 4314 дней назад
WANAWAKE WA RUVUMA WAPO VIZURI KIUCHUMI
TIC YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA RUVUMA
Просмотров 3421 день назад
TIC YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA RUVUMA
UJENZI SEKONDARI YA SAMIA NAMTUMBO SASA NI USIKU NA MCHANA
Просмотров 6721 день назад
UJENZI SEKONDARI YA SAMIA NAMTUMBO SASA NI USIKU NA MCHANA
HEWA UKAA KUWANUFAISHA WANANCHI NAMTUMBO
Просмотров 5621 день назад
HEWA UKAA KUWANUFAISHA WANANCHI NAMTUMBO
DC NAMTUMBO ATAJA MATUMIZI BORA YA ARDHI
Просмотров 3321 день назад
DC NAMTUMBO ATAJA MATUMIZI BORA YA ARDHI
MALORI 120 HUBEBA MAKAA YA MAWE KWA SIKU JITEGEMEE MBINGA
Просмотров 69821 день назад
MALORI 120 HUBEBA MAKAA YA MAWE KWA SIKU JITEGEMEE MBINGA
SUPERFEO ALIANZA NA MTAJI WA 20,000 SASA NI BILIONEA
Просмотров 4,7 тыс.21 день назад
SUPERFEO ALIANZA NA MTAJI WA 20,000 SASA NI BILIONEA
USISAFIRI NA BASI LISILO NA BIMA
Просмотров 7021 день назад
USISAFIRI NA BASI LISILO NA BIMA
SERIKALI YAANZISHA BIMA YA KILIMO
Просмотров 3921 день назад
SERIKALI YAANZISHA BIMA YA KILIMO
UKINAWA CHANZO CHA MTO RUVUMA UTAPATA MTOTO
Просмотров 2821 день назад
UKINAWA CHANZO CHA MTO RUVUMA UTAPATA MTOTO
UJENZI SAMIA SEKONDARI SASA NI SAA 24
Просмотров 12121 день назад
UJENZI SAMIA SEKONDARI SASA NI SAA 24